Selfika na JF: Snap it. Show it

πŸ•ΊπŸ•ΊπŸ•ΊπŸ™‚πŸ™‚ Shangazi nikikununia si nakufa machana tuuu.. Subiri kidogo naweka uchebe hapa nipo kijiweni kwa watu
 
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀭🀭🀭🀭 nacheka kama Chizi class mjomba nimalizie kipindi kwanza!!🀭🀭🀣
Usiweke hadi nijeeee mjomba one time tu niwape highlights ya pepaaa vijana!!
 
Uje kwanza ule shangazi.. Samaki wa kuoshewa maji ya mauti ni watamuuu haooo πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚
 
Nakuja mjomba usitoke hapo nikukute!!

Halafu sharubu zimekuaa fanya kushevu vizuri tena mjomba wangu!!😍
Kumbe mjomba una lipss matata sana mjomba
✌️✌️ nilikua sijazionaga vizure bana!!
πŸ€—πŸ€—πŸ€— Karibu shangazi, badae ukifika utashangaa, hutokuta mzuzu, ndio kinyozi anakuja hapa kuzifyekaa
 
Wee sema kweli mjomba??? πŸ€”πŸ€”Au ziache nakuja kukushevu mwenyewe mjomba wangu huyo kinyozi Achana nae jiandae hadi za kusiniii napita nazoooo nikuache msafiii mjomba wangu
 
😜😜😜😜😜😜 Nakaa kwa kutulia hapa, siku za maisha lazima ziongezekee hapa.. Sio kwa kujaliwa huku na Shangazi yangu mpendwaa
 
Turia ivoivooooo mjombaaa nakuja kukufanyia huduma moja ameiizzeeenngggg ✌️✌️!! Teeeeiiinnnnhhhh sema kingine mjomba wangu mjomba mwingine sinaaaa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…