Nimekoma🤣🤣🤣🤣
Ndio usirudie tena
Mambo ya watu waachie wenyewe
Inabidi nitubu nitoe na kafara ya vocha ili nisamehewe
Nimekoma🤣🤣🤣🤣
Ndio usirudie tena
Mambo ya watu waachie wenyewe
Mimi ni surprise inayo subiliwa endelee kuvumilia wani day yesSi unajua uwanja wa nyumbaniiii mkuuu!! Hivi ushawahi tupia selfii yako wewe kweli umekua mjanjamjanja kama Saint Anne sema Anne saivi amekua mdhunguu!! Nakedddd atupia kama zoteeeeee !!







😄😄😄 Walaaa...mdada mremboo ngozi✨✨Nijazeee nijazeee mamaaaa weee nijazeeee tyuuu in coca's voice!!!
Bado upo????😍😍😍
Nawe leo Tubless mkuu acha uchoyo!!😉😉
Usiniache tuongozanee mie nafika hapo mbele!!🚶🏼♀️😄😄😄 Walaaa...mdada mremboo ngozi✨✨
Natoka muda si mrefu mamii..
Mbona umenikazia weweNawe leo Tubless mkuu acha uchoyo!!![]()








simu yangu haina camera Tena vocha za kiasi kikubwa zaidi tofauti na unavyotoagaNimekoma
Inabidi nitubu nitoe na kafara ya vocha ili nisamehewe
Mwenyekiti ,popote nawe ulipo nimekumiss sana sanaKatibu akee Hustler one popote ulipo nakusalimia kwa jina la Selfikaaaa✌️✌️✌️✌️!!!
Mjumbe spidernyoka unaendeleaje na haliii?? Vipi usharikava?? Tumekumissssss pia mjumbee Hope you did get well nduguu if not ugua poleee!!
Nataka nione selfii yako Ndiomana wee tupia uone kama ntakusumbuaa !! Shusha kituuuu!!✌️
hahaha mambo
Wabheja sana Katibuu✌️ .Hauna ka selfii hapo nikuonepo Mara moja katibu wangu kitamboooo ujuee!!😉😉Mwenyekiti ,popote nawe ulipo nimekumiss sana sana
Hahahahaaa alyekum msalaam!!Hustler one katibu nimeona kivuli chako samalekooo✌️✌️😍😍
Ujambo shemejihahaha mambo

Wabheja sana Katibu!Hahahahaaa alyekum msalaam!!
Hahahahaaa alyekum msalaam!!Hustler one katibu nimeona kivuli chako samalekooo✌️✌️😍😍
Baadaye mwenyekiti ,mchana huu nakimbizana na tozo!!Wabheja sana Katibuu✌️ .Hauna ka selfii hapo nikuonepo Mara moja katibu wangu kitamboooo ujuee!!😉😉
Nina nyota ya fenesi juzi nimepata mchumba kaja home kaondoka na remote



Aaahhh mie tena usiwaze kabisaaaa!! Wee tupia tu Selfii byako then naweka naked yahiooooo sinaga uswahiliiii Kabisaaa mie !!