Dormant Account
JF-Expert Member
- Apr 5, 2022
- 11,307
- 32,796
Kijana kijana nitakuroga [emoji34][emoji34][emoji34]Acha kutusumbua na wake zetu [emoji1783][emoji1783][emoji1783]
Kijana kijana nitakuroga [emoji34][emoji34][emoji34]Acha kutusumbua na wake zetu [emoji1783][emoji1783][emoji1783]
NakaziaMazee voda vipi 🙂🙂
Sijapata hata moja shemejiHujatosheka
Lenie mamboNakazia
Eeh pole, nikajua umeziopoa zoteSijapata hata moja shemeji
Boss mwenye plant wanaotumia voda ni matajir achana nao tuangalie sisi wa halotel
Haha!! mkuu Carrasco putin kwemaBoss mwenye plant wanaotumia voda ni matajir achana nao tuangalie sisi wa halotel
Siyo kwemaHaha!! mkuu Carrasco putin kwema
Hali yangu nzuri/safi na salama kabisa mpendwa
Shida/tatizo nini?Siyo kwema
Vocha boss hapa natumia tu simu ya x wanguShida/tatizo nini?
Vema kama uko poaHali yangu nzuri/safi na salama kabisa mpendwa
Unahitaji vocha ya mtandao gani?
Ni Kaka kweli au [emoji41][emoji41][emoji41]Vema kama uko poa
Ya voda kaka Ely
Ndio kaka 😂😂Ni Kaka kweli au [emoji41][emoji41][emoji41]
Nikiweka utaiwahi sheik?Vocha boss hapa natumia tu simu ya x wangu
Halotel tu voda sina mm mkuu
Situmii halotel, muwe na amani
National Anthem ya kweli hayo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndio kaka [emoji23][emoji23]