Selfika na JF: Snap it. Show it

nagombaniaga sema last week nilikuwa napata kalift basi nikasahau mambo hayo

huku wanapiga vipepsi sio poa
Lift ikakusahaulisha tabu😂😂😂😂
Kwenye kugombania lolote huwa linatokea🤣,usiombe uwe umevaa wigi kichwani.
 
Hakika
Nimemuona Bwana usiku wa Leo.

Adui Alitaka alete vita akashindwa..
Nguvu za Mungu sanasana hujidhihirisha kwenye scenario kama hizi.
Amen , sifa na utukufu kwake aliyeziumba mbingu na nchi .

Yeye ni Mungu Mkuu , no weapon formed against you shall prosper

here is my favourite verse from thw book of Romans 8:31
if God is for us , who can be against us .

Mathew 19:26

hallelujah to the King , Jehovah jire , Elohim and so many more
 
Nkamu huyoo[emoji3590][emoji3590][emoji91][emoji91]
Umependeza mnyakyusa wetu mweupe
Naomba kawime[emoji39]

[emoji3059][emoji3059]
Nkamu baada ya kutokunywa muda mrefu jana nikaamua kunywa hiyo haina maajabu ipo kama maziwa mimi nimeipenda.

Ila wewe usinywe endelea kuwa mtoto mzuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…