Selfika na JF: Snap it. Show it

yaani shida tupu
ndo usafiri wetu huo

wakati wa mvua ndo sielewagi yaani mtu kavaaa nguo inanuka uvundo halaf uko naye pembeni dah
Tena wakati wa mvua jua linawaka mnasweat halafu mvua inawanyeshea.
Sisi wa mwendokasi za gerezani tunapanda na watu walioliochanganya harufu ya jasho na uvundo wa nguo .
Kuna siku nilitaka kuzimia urafiki pale Kwa kukosa hewa..
Gari imefurika fulii na jioni kupata siti ni sawa na ngamia kupenya tundu la sindano.
 
duh pole , huko mwendokasi ndo balaaa , harufu mixer na watu wamejazana nyomi
 
🤣🤣🤣
 
ya kimara na mbezi duh yanajaza hadi mlangoni .
usafiri mgumu huo duh ,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…