AlexProsper
JF-Expert Member
- Jul 1, 2022
- 3,414
- 6,285
Wewe endeleaWe dogo ni boya[emoji1787]
Nimecheka
Utampa nini[emoji1787][emoji848]Mie zamu yangu itakuja na ntakupa, leo ni wee hapo.
Sababishaaa bas mjukuu afurahie wkend.
Tulia student nilikua kazini hapoπUna mrubuni mdada wa kizunguu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dents wa Coet, kwisha habari yao, utakufa miguu umenyoosha juu.
Woiiiiiiih
Hivi unanidai eehπHivi mchumba sina kudai eh
Hahah!!! Imeisha hiyo D πWeeeuhh chikopa π
Usipotee sana Wakishua jamani ππ
ππ haijaisha vizuri, emu selfik chapHahah!!! Imeisha hiyo D π
Hivi bado tu hujazoea? πSent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
I miss u too auntShangazi mic u. [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Sio kwamba pakuche kidogo? πππ haijaisha vizuri, emu selfik chap
Hapana, pamekucha tayariSio kwamba pakuche kidogo? π
Marahabaπππ
Usiniambie unaupiga mwingi? ππMarahabaπππ
Nishakuwa fundi siku hizi.
Nilikumiss dogo,nikajua umetumbukia huko
Ama neneee π€£π€£View attachment 2360267
Umeshinda
ππππππAma neneee π€£π€£
Alpellah nimekumbuka mbali sana π
Kwanza twende nikakuite lile jina unachukiaga