Selfika na JF: Snap it. Show it

Ulifanyaje?[emoji28]

Me napenda
Au ukae uingize miguu kwenye maji uchezee tu naskia raha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nilikua nazamia chini, sasa nikaanza kunywa maji, si nianzeee kuhaha, ndo akaja kuniokoaaa, toka hapo naogopaaa, yaan nliona aibuuu, kusemwa na kufokewa uwiiiiiih
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…