Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,565
- 235,362
Hivi eeeh?Kama umeanza kuonana na wenye hela basi amini muda si mrefu unaanza kupata miela
Ungekuwa Porsche 😍Car chorii
Car babu
Umejiandaa kisaikolojia lakini 🤠🤠Ongezea na kitu kama iii
Kongole kwa Engineers wote wa humu👏👏
Boss Mkubwa,Mzungu wa nafsi na roho
Samaleko pacha wa Carrasco putin 🤣Boss Mkubwa,Mzungu wa nafsi na roho
Mwenye seat yake tayari Mbinguni,Tena seat yake ipo Karibu na yangu
Mr Mjep
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Ndugu yetu Putin atakuwa seat ya nyuma yetu.Samaleko pacha wa Carrasco putin 🤣
Nawatag
SitakiDepal njoo tupunguze kitambiView attachment 2358780
Tena special seatNdugu yetu Putin atakuwa seat ya nyuma yetu.
Si una kitambi weweSitaki
AsubutuuuuSi una kitambi wewe
Huyu Putin atakuwa pembeni Ya MjepTena special seat
Em tuoneAsubutuuuu
Mtoto na ka flat tummy amazing 🤣🤣🤣
Jamani kwanza leo blaza Mjep hatoi vocha?Huyu Putin atakuwa pembeni Ya Mjep
Yaani Mjep atakaa seat ya kati anatupasia vocha na tunaingiza Kwa raha zetu
Wale walafi wa vocha wote waliotupokonya vocha alizotupa Mjep hapa,hawatakuwepo kwenye zile seat .
Nasema uongo ndugu yanguCarrasco putin ?
Wapumzisheni hao wababu mnawatumia kama emoj za kuzibia sura
Boss wetu hashindwi na jambo.Jamani kwanza leo blaza Mjep hatoi vocha?
Maana weekend ndio hii