Kuna kale ka experience unapata
Hata kuonana na watu tu ni muhimu sana usikate tamaa mdogo wangu unaweza kuonana na boss wako wa kesho kupitia kazi hiyo
Depal 🎼 🎧
We umekuwa sindano mi pulizo
Mi mfanyakazi bora we likizo
Eti mimi ni mfano wa shati we kishikizo
Ushagundua nakupenda mama isiwe tatizo
Nimeshakupa we ndo moja namba
Uwanja wako usihofu tambaa
Nipe vyanda vya kutosha
Nimeshakupa we ndo moja namba
Uwanja wako usihofu tambaa
Nimeganda vya kutosha
Mi nakupenda ndo maana ng’ang’ania
True love na sio bandia
Upole kama wa ngamia
Kila nanusuru roho yangu
Ukiniambia nipike ntakupikia
Cause najua mahaba
Nakumbukaga kamchezo kale
Ka kula nibakishie Baba
Tena unanimalizaga ule mchezo wa kibabababa
Raha ninazo zipata kumbe , Kwa ex wangu nilivaba