Teeeeeenaaaaaaaaa!!!!Truajuaaaaa trunajuaaaaaa shossssss!! Mahabaaa yamewakutaa wenyeweee wauweeeehhhhh!!
Ndio biashara zilizonishinda hiziπTo be honest we live at work and visit home π and yet we donβt have sufficient money π€£π€£π€£π
Lenie
We CocaTeeeeeenaaaaaaaaa!!!!
Yametukuta wahusikaaaaaa!!! Hadi njiwa wanaona wivu.
Baadae namwaga ubuyuuuu wote fullCoca nimetafuta tena bando kwa ajili yako ujue
Ndiwoooooooooooooooooo!!!Watu na wahayaaa waooooooo ndiooooooo!!
Coca jamaniπ₯ΊBaadae namwaga ubuyuuuu wote full
Ndiyokwani majini tyuuh ndo weupeee.?
Weeeeh sijabahatisha selfii yake nzima naonaga ka part ka kichwa tu na sikio moja na upande mmoja wa miwani!! ππ Kumbee!!π€π€Mjep handsome
Halafu six pack yaani..ndio raha ya wazungu wa roho akina Mjep.
Vitambi vimepita mbali nao.
M muhaya au mpareNdiwoooooooooooooooooo!!!
Wa kuitwa M.
Mnataka nizungumzie kuhusu nn kwan???
Anazificha six packs zakeWeeeeh sijabahatisha selfii yake nzima naonaga ka part ka kichwa tu na sikio moja na upande mmoja wa miwani!! ππ Kumbee!!π€π€
Saint Anne nifungulie hii code pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!!Ndiwoooooooooooooooooo!!!
Wa kuitwa M.
Coca jamani
Baadaye bando langu litakatika na sina buku leo ya bando
Kwahiyo ukaacha kazi ama π€£Ndio biashara zilizonishinda hiziπ
Kila siku nafanya mazoezi ya kwenda kazini na kurudi nyumbani
Na hakuna ninachopata.
Iiiigggweeeeeeeeeeeeeeee ππππ! Tutakoma tusiopendwaaa wala kubebishwaaa walaiiii hadi kasuku wataona wivu sio njiwa ty!!Teeeeeenaaaaaaaaa!!!!
Yametukuta wahusikaaaaaa!!! Hadi njiwa wanaona wivu.
Kastory ka mapenzi yenu ili kawe inspirational kwetuMnataka nizungumzie kuhusu nn kwan???
Mweee kama anashinda jukwaa la Tech huyo atakua ni kipangaeti weee fidodido hebu njooo huku selfikaa. Toka huko jukwaaa la Tech,
Njooo hapa, ila usinifokeee baadae, sitakuimbia "Niroge" ya Vanessa.