Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kupendwaaaaaaa raha. Hasa ile ya ukweli.
Khakhakhaaaa!! Ya ukweli ndio unaijuaje hio shosss akeee!!!!!!!
Japo leo napenda kuwa msomaji zaidi hii topic ya mahusiano ( especially kipengele cha Nature vs Reality!!πŸ˜‰πŸ˜‰)
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kupendwaaaaaaa raha. Hasa ile ya ukweli.
Akili inaganda kabisa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unakuwa huamini hivi ni mimi kweli au [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Bora umenikataaa kimyamya πŸ˜•πŸ˜•πŸ˜• ningeficha wapi ID yangu hope umefuta PM zote na message zangu 😣😣
 
Akili inaganda kabisa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unakuwa huamini hivi ni mimi kweli au [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kupendwaaaaa rahaaaaa, unaweza ona wotee wengine walio single ni mbwaaaaa tyuuuh.

Mapenziiiii matamuuuuuu, [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
 
Mweee
Mbona mambo za kiswahili sasa ?

Bana weee
Waende wakafie mbele

Hatutoi airtime kwa watu wenye akili chache, wapambane tu na makasiriko yao.
Unakuta jitu limetibuliwa na A, basi akikuona una interact na A na lenyewe lapata wazimu na wewe.. huko ni kukosa akili

Ila jf inachekesha sana 🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…