wapo ndioKwan Kuna mtu hajawahi kuumizwa acha kukata tamaa Sema uliyempata hakuwa sahihi kwako
Naanzaje kufatilia X nipate ugonjwa moyo nikufe kabla ya siku zangu akuuu πππUna hizo tabia nini? Kufatilia X anafanya nini currently? Kama unazo uache ni ushamba didi ππ
Ushamba mbaya kama huo nikijua unafanya nitakutandika π€£π€£π€£
Carrasco putin hongera kwa kuachwa πππ na pole kwa maumivu yatokanayo na muacho.
Mfute eee? Ukiacha uendelee kumuona utapata kiherehere cha kuendelea kumfatilia. Na ukifanya hivyo utachakaa kisaikolojia π
Sisi ni mafogo wewe π π πNa kile kishkwambi mlipita nacho,watakuwa wanasema acha wale jeuri yao hawa majambazi.
Madam wa PCM.Bado nakudai
Kwahiyo unajitabiria kuachwa kila husiano? π€£π mengine wawahi wewewapo ndio
ila hapana mimi nakuwaga mjinga sana , naonyesha kabusa hapo nimedata .
sasa sitaki hivyo tena .
mahusiano mengine nikiachwa niwe zangu tu fresh ,
Arusha nadhani ndio mkoa unaongoza kwa umeme kukatika.Sisi ni mafogo wewe π π π
Wao wenyewe wanatujua
Wanakata umeme ili wachukue tozo za petrol
Sina pichaaa!!Uzi sasa umechangamka boss ledi umekuja.
Hebu sindikizia na kapicha.
Asante DUna hizo tabia nini? Kufatilia X anafanya nini currently? Kama unazo uache ni ushamba didi ππ
Ushamba mbaya kama huo nikijua unafanya nitakutandika π€£π€£π€£
Carrasco putin hongera kwa kuachwa πππ na pole kwa maumivu yatokanayo na muacho.
Mfute eee? Ukiacha uendelee kumuona utapata kiherehere cha kuendelea kumfatilia. Na ukifanya hivyo utachakaa kisaikolojia π
Madam boss hajawahi kukosa pichaSina pichaaa!!
No sitabirii hivyo na haitakuwaKwahiyo unajitabiria kuachwa kila husiano? π€£π mengine wawahi wewe
Safi sana π€£Naanzaje kufatilia X nipate ugonjwa moyo nikufe kabla ya siku zangu akuuu πππ
Mweee kuchakaa kisaikolojia ndio kukoje huko didi akeπ€£π€£
Ndio ikoje jirani..Safi sana π€£
Aiii Exi hafuatiliwi bana
Ukichakaa kisaikolojia πππ ni mbaya sana didi.. usiombe ikukute π
Ngoja nisomeHapo juu ametupa intro tuendelee kunafkianaaa wauuuuweeeeehhhhhh πππππππ!!
Mlete cocastic mleteeeeeee