Kuna tasnifu ya uzamili ya mtu wa Isimu Jamii ameandika juu ya historia, chimbuko na maana ya majina ya Kisukuma niliiona nikawakumbuka akina Minza. Ngoja niitafute nikutumie
Sasa mimi ni ngumi mkononi!! Siongei sana ila nina mkono mwepesi na hasira balaaa! Ukinikasirisha usiwe karibu yangu aseeh nikikushika nakumaliza kwa hasira!