Didi ake halalamikagi labda kwenye mpira, kocha sjui mchezaji akizingua ndio namuonaga anawaka ila sio mambo mengineAchana nako haka jana kenyewe kalikua kana lalamika hapa sijui nini nini eti kanavunga kamesahau
Wee sema kweli mr Vocha??🤔🤔🤔🤔🤔Kabisa yaani kama hupendwi au kupenda kuna kitu hakikosawa mahali, muulize didi yake
ZimetaradadiTozo Zimefanyaje?
😁😁 ambia huyo apate kujuaDidi ake halalamikagi labda kwenye mpira, kocha sjui mchezaji akizingua ndio namuonaga anawaka ila sio mambo mengine
Itabidi mkakanyage mafuta 😂😂Wee sema kweli mr Vocha??🤔🤔🤔🤔🤔
Sasa sie tusiopendwa mnatusaidiaje sasa??😉😉 Watu ni tumedodaa hukuu hatupendwiiii uwiii sijui tunakwama wapi walai! Mtufantie maombi tyu no way
hebu anza nidate kwakoNitakufanya mapenzi uyapende
Boss lady wewe unavyogombaniwa kama mpira wa kona😂Wee sema kweli mr Vocha??🤔🤔🤔🤔🤔
Sasa sie tusiopendwa mnatusaidiaje sasa??😉😉 Watu ni tumedodaa hukuu hatupendwiiii uwiii sijui tunakwama wapi walai! Mtufantie maombi tyu no way
Hakii mtupe tu huo mwongozo tuende walai kukanyaga mafuta maana yake nini kiswahili nilifeligi Kabisaaa!!Itabidi mkakanyage mafuta 😂😂
naja tuanze maisha pamojaNjoo tutafute kazi wote
Boss kubwa nikuone DM kama itakupendeza.Huyu ni Mimi kabisaa[emoji38][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Weee kugombaniwa wapi mr vocha nimedoda tyu hapaa miee fanya tu Unipeleke nikakanyage mafuta mr Vocha sijui ni wapi huko sasa utajua wewe utakonipeleka!Boss lady wewe unavyogombaniwa kama mpira wa kona😂
asante kaka , be blessedNakuombea upate kazi nzuri mdogo wangu
Usiache kupenda maana sehemu ya mahitaji muhimu
Haya uwahi sasa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kabisaaa shoss nipo nasaula vyanguu huku nikuje tusepeee!!
Weee tena usiwazeee, [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]Mimi nitakuwa kitengo cha kukuandalia joho..Kufua na kupiga pasi.
my main squishMwakani tunaoana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mlongoo.Vayolensi[emoji3526][emoji3526][emoji3526][emoji3526][emoji1]
Waambie waache uchafu bwanaa..Raha ya mwanaume anukie bwana inapendeza mnooo
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyu ni Mimi kabisaa[emoji38][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app