Selfika na JF: Snap it. Show it

Weee wanaume wanavoipenda hio wanaita mistari ya utamu wenyewe! Nkamu hauna kapicha ka kimini hapo nionepo hio mistari inavyokua nkamu
!!

Wanaume sio unajua akili sio nzuri kidooogo


Nkamu utanisamehe siwezi
 
Miss you More!!

nitaselfika siku nikimfikia Saint Anne

Mungu ni mwema ni muda sasa sijaumwa nashukuru kwa misaada yenu, thou wengine sikuwafikia kama nilivyopewa

Mwee🀣
Yaani unatamani kuwa kimbaombao?
Mwili wako ndio size nzuri sasa..Si mnene sana Wala si mwembamba sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…