Kuna mtu juzi alitoa ushuhuda kwa Mwamposa 😂Anamshukuru Mungu alikuwa hapati wapenzi kwa sababu ya hali yake ya ugonjwa wa ajabu waliomroga, Sasahivi anao wawili.
Taratibu utazoea.
Mimi mwenyewe rship ya mwanzo ilivyovunjika sikulala ile wiki japo hakuna nilichopoteza.
Nikikumbuka huwa nacheka jinsi nilivyokuwa zwazwa.
Taratibu utazoea.
Mimi mwenyewe rship ya mwanzo ilivyovunjika sikulala ile wiki japo hakuna nilichopoteza.
Nikikumbuka huwa nacheka jinsi nilivyokuwa zwazwa.