Dormant Account
JF-Expert Member
- Apr 5, 2022
- 11,307
- 32,796
Makumbusho Kuna watu wengi nenda kwenye maduka ya simu pale [emoji41][emoji41]Mweh ndo nimekosaa hivyo
Sichagui hata sema sikutani na watu wengi
Mbona Mjep katulia jaman acha kumbania mtoto wa mwenzio[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Sitaki hekaheka mamdo pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!!
Nifundishe kupika tambi jaman kuna mtu alikuja home hapa nikaona anapika tambi kwenye flampen kaweka hoho karoti viungo kama vyote zilikuwa tamu balaa wakati mm tambi napika naweka maji naziweka humo maji yakiisha nakula [emoji856][emoji856]
Lini sasa nije unitembeze hapo tegeta ni nyuki au kwa ndevu .Makumbusho Kuna watu wengi nenda kwenye maduka ya simu pale [emoji41][emoji41]
Au njoo nikutembeze tegeta huwez kukosa mumeo mtarajiwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nahisi akili za utoto zile .. walijua kunichamba kweli . Mmoja nilikutana nae chuo mwanzoni sikutaka ushoga nae Ila Mungu huyu . Tuko marafiki hadi leo .
Asante sana mdogo wangu ubarikiweNi rahisi tu
Ukizichemsha tambi weka kwenye chombo zikauke maji . Then kata vitunguu , hoho na carrot .
Baada ya hapo weka karai then mafuta weka viungo vyako hivi kwa karai zikaange ukianza vitunguu hadi cha karroti then weka tambi zako humo zikaange na viungo hivyo .
Punguza Moto ili zisiungue
Zikiwa tayari epua weka kwa chombo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tukutane mungu akipenda [emoji959][emoji959][emoji856][emoji856]View attachment 2346307
Niachie mimi ww andaa tu nguvu za kutembea tutafika mpka gobaLini sasa nije unitembeze hapo tegeta ni nyuki au kwa ndevu .
Makumbusho wengi wao mabishoo , mie mshamba , watanikataa
Haya ndugu KakaAsante sana mdogo wangu ubarikiwe
Kula vixheti vya wanafunzi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji321]Leo sina mudi ya kuongeaa sana mamdo pullliiizzzzzzzzzzzzzzz[emoji119][emoji119]!
Kha labda tupande gariNiachie mimi ww andaa tu nguvu za kutembea tutafika mpka goba
Kwanza una gari yako ile ,BossNiachie mimi ww andaa tu nguvu za kutembea tutafika mpka goba
🤣🤣🤣🤣🤣🤣!Kula vixheti vya wanafunzi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji321]
Ahh kunduchi Kuna x wangu nitakupeleka mbweniKha labda tupande gari
Hiyo ya kutembea siwezi [emoji23][emoji23]
Twende kunduchi huko ndo nakutamani huko niende
Twende jioni ya leoAhh kunduchi Kuna x wangu nitakupeleka mbweni
Gari inadaiwa madeni kibao ukiingia TMS huko ni balaa yani ikipita barabarani tu inakamatwa nimeipaki [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwanza una gari yako ile ,Boss
Tutaipanda