Selfika na JF: Snap it. Show it

Hayanaga muongozo 😁😁😁

Mjukuu kwishnei na upole wake dah! πŸƒπŸΏβ€β™‚οΈπŸƒπŸΏβ€β™‚οΈπŸƒπŸΏβ€β™‚οΈ
 
Kweli , hayana muongozo
Ngoja tuwaachie wengine
Niwe spinster tu naona
Spinster wapi?

Hata mkiolewa mabinti wa selfika mnaolewa kimya kimya. Juzi juzi kuna mwanaselfika kafunga ndoa lakini kimya kimya tu sijui kwa nini. Badala mtangaze ili wanaoweza kutoa michango ya harusi watoe nyie mnafanya kimya kimya. Siyo poa!
 
Kashupalia kweli hii ishu. Kuna ukweli wo wote Bosi Ledi? πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸƒπŸΏβ€β™‚οΈπŸƒπŸΏβ€β™‚οΈπŸƒπŸΏβ€β™‚οΈπŸƒπŸΏβ€β™‚οΈπŸƒπŸΏβ€β™‚οΈπŸƒπŸΏβ€β™‚οΈπŸƒπŸΏβ€β™‚οΈπŸƒπŸΏβ€β™‚οΈ
 
Hahaha Dada , sipatani na mapenzi ngoja tuwaachie wanaoweza .

Hapaa najifurahisha tu mie , nimeangalia tamthilia sana zimeniharibu kichwa πŸ˜‚πŸ˜‚
Wacha utaniii weee mama lipss, mtoto mcute hivoo mpolee usie na makuu weeeeehhh!! Anaekumiliki anaenjoy mnooo mamyy!! Mpe saramu zanguuπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ˜πŸ˜!! in watu wa Bk voice!!
 
Spinster wapi?

Hata mkiolewa mabinti wa selfika mnaolewa kimya kimya. Juzi juzi kuna mwanaselfika kafunga ndoa lakini kimya kimya tu sijui kwa nini. Badala mtangaze ili wanaoweza kutoa michango ya harusi watoe nyie mnafanya kimya kimya. Siyo poa!

Unakuwa zako tu spinster na kuenjoy life la usingle .. baaade umri ukienda unazaa katoto kako kamoja .

Hongera kwake , hii ya kusema ni nzuri sana . Kusaidiana ni vizuri sana .
 
Wacha utaniii weee mama lipss, mtoto mcute hivoo mpolee usie na makuu weeeeehhh!! Anaekumiliki anaenjoy mnooo mamyy!! Mpe saramu zanguuπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ˜πŸ˜!! in watu wa Bk voice!!
Ndo ukweli huo Sissy
Hakuna anaenimiliki kwa Sasa
Thank you for the compliment . Wewe ni mzuri sana na zigo kama lote
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£ Utamuweza Huyo ana cheti chenye lamination kabisaaaa!! Mie humu πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ kitamboooo!! Sitakiiii hekaheka treinaa mie! πŸƒπŸΌβ€β™€οΈπŸƒπŸΌβ€β™€οΈπŸƒπŸΌβ€β™€οΈπŸƒπŸΌβ€β™€οΈπŸš΄πŸš΄πŸš΄πŸš΄πŸš΄πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ€”πŸ€”πŸ€”!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…