Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 19,988
- 48,488
Hongera mm hata sijanunua hta baiskeli watu mpo huko mwee😂
Hongera mm hata sijanunua hta baiskeli watu mpo huko mwee😂
Pole najua kutibu ankle njoosophy27 nimeteguka ankle nikitembea naumia hataree!.. sijui kama kesho nitaweza kuparangana na watoto wahuyu mama walai!
Nlikutag lkn hukutokea ntakutag tenaitapendeza
Asante kipenzi!!Pole madam
Hongera sana Mungu azidi kutunza uzid kuuona ukuu wake😘😘Today, I just want to thank God for adding another year to my life.
shororoo wa Chugaaa fleva za cocastic naona umedamkia guest hapo!!Kijana mpole mstaraabu kijana wa mungu mwamposa junior 1978 View attachment 2345369
Toka pepo hapo ni Lodge siyo guestshororoo wa Chugaaa fleva za cocastic naona umedamkia guest hapo!!



Pole madam mzuri,Polee dear Get well soon! Mi mwenyewe nilisafiri Kurudi hivohivo na homaa afu niliteguka mguu sijui kama nutaweza kuparangana na madogo kama ntakua zamu walai!!!!!!
Asante mkuu!Pole madam mzuri,
Santo sana sis dokta! Ndio nafanya hivo!Uuuw pole utafute mtu akuchue sana sa hv usiku na kesho asubui
Mwanamke gani mfupi kama frijiMbona ghafla hivoo!
Mdomo komaa![]()
SawA ccy upone harakaSanto sana sis dokta! Ndio nafanya hivo!
Wee mapepe yako tu mbona Mtoto wa kisukuma kaenda hewani plus potabo moja matata sana !Mwanamke gani mfupi kama friji
Wabheja sana sis 😘!SawA ccy upone haraka