umenikumbusha kitu shangazii, nimecheka had chozi linatoka, mie nilikua nna ujinga mwingi mnoo.
Nawahi kutoka home, afu nikifika town siend shule nakaa Lodge siku 4, kuzurura tyuuh town na kufanya upuuzi mwingine. Siku yangu ya ku report shule ilikua n j5 ya week ya kufungua shule.
nakujaaa mama maleziii, nambebea baby kits,
Sina jambo dogo,
Field yaan inaenda poaah, afu aris imenifurahisha mnoooo, yaan nimewishi iwe Final Results,