myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,136
Aisee....Lisaa limoja nishafika.. sitotosheka..
Kuna siku nilipanda kutokea Mo.. nikalala nikidhani litachelewa kama costa.. wee naja kushtuka tuko Tengeru πππ
Yule dere aliipeperusha.. halikufika hata lisaa na nusu, tuko Chuga
Ulikuja kwa shemeji
Nini sasaAisee....
Mambo ya Sean Paul π₯π₯π₯Natambua uwepo wapo National Anthem View attachment 2343760
Li zuri sana weweNini sasa
π Wwe c ulishindwa kumthamini na kumtunza!Unamvizia x wangu [emoji34][emoji34][emoji34]
πππShemeji Yako yupi bwana wewπUlikuja kwa shemeji
Mdomo koma [emoji40][emoji40]
Mzima lkn jiranSafiii sana jirani
Haha tuulize siis tunaoishi mwishoni mwa Tanzania tunavoteseka ππhatujawahi kumiissNimemiss kusafiri na bus kubwaaa
Walevi hawajaamka sahizNatambua uwepo wa walevi wote selfikaView attachment 2343782
Single father vipi na sieNatambua uwepo wa single mamas hapa selfika! View attachment 2343780
OukNashukuru Mkuu kwa kunifariji
Wee nilitoroka mara 1, nipo zangu mbeya Now.Field mnafanya kwa muda gani shos?? Naona mmewahi kumaliza!
Shangazi mic u.Good morningView attachment 2342851
Huku kwemaaah!!Utapata tu
Vipi habari ya huko?
Thank you babe π₯°Huku kwemaaah!!
Mic u [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Shangazi, wee huvuti? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Good morning
Tunawaachia mjiwenu wenye makelele[emoji23][emoji23]View attachment 2343717