Nipo shost πSalama jirani
Namtafuta rafiki yangu Depal umenionea wap
Sisi tukishinda uchawi upo. Ila nyie mkishinda dk ya 101 ni kawaidaHaya manyumbu yameshinda?
Uchawi upoπ
Jana mambo yalikuwa mazuri. Sasa tukimfunga na Arsenal j pili itakuwa burudaniNamwona Carlos Tevez namna anavyochekelea!
Mara ya mwisho rafiki yako alikuwa na mtoko π€£π€£Salama jirani
Namtafuta rafiki yangu Depal umenionea wap
Salaam mzee jirani. Habari ya uzima?Salam kwenu wote
Mnatusingizia tuu
Relaaax.. halafu wasiliana naoNipo shost π
Ngoja kwanza nimalizane na voda
Airtime ya efu 30 na kwenye simu haijafika.. nimevurugwaaaa
Risiti naisoma mara elfu kuhakiki namba
Ni yenyewe
Majina ni yangu
Lakini Vodacom hawanifikishii hiyo hela
Amekua mpendwa siku hizi kumbe, sikujua
Huo mtoko umezua sintofahamuππMara ya mwisho rafiki yako alikuwa na mtoko π€£π€£
Hatimaye umerudi, nilipata mashaka labda wasiojulikana wamefanya yao πNipo shost π
Ngoja kwanza nimalizane na voda
Airtime ya efu 30 na kwenye simu haijafika.. nimevurugwaaaa
Risiti naisoma mara elfu kuhakiki namba
Ni yenyewe
Majina ni yangu
Lakini Vodacom hawanifikishii hiyo hela
Voda wameniambia hawajapokea pesa hiyo, so niwarudie crdbβ¦Hatimaye umerudi, nilipata mashaka labda wasiojulikana wamefanya yao π
Emu wapigie kabla hawajakufanyia utapeli, au mambo ya network
ππππππ€£πMara ya mwisho rafiki yako alikuwa na mtoko π€£π€£
Jamani mbona usumbufu huoVoda wameniambia hawajapokea pesa hiyo, so niwarudie crdbβ¦
Crdb wananiambia nisubiri masaa 48
Jamanii nimekwazikaaaaa
Imekatwa ππJamani mbona usumbufu huo
Na hapo usipofatilia wanaweza kukuzika 30 yako. Umecheki salio wamekata?
Au acc imetuna sana so wamekuona don huwezi fatilia 30k? πImekatwa ππ
Auntie huyo[emoji91]Good morningView attachment 2342851
Si ni mtoko lakini? Halafu ndo mambo gani hayo ya kumuweka rafiki yako roho juu juu?ππππππ€£π
Mtoko wa kikazi bana