Selfika na JF: Snap it. Show it

Ni level ipi anayoenda huyo dogo, Diploma au Degree?
 
Hope by kujua unamaanisha kukifahamu chuo kiundani..

Kam ni hivyo nina uhakika hayupo kwenye position ya kukijua maana hana uzoefu wowote na masuala ya vyuo..

Yeye kaambiwa jina na kozi tu na siye aliyeapply
Duuuh hapo pagumu, nweiiiii kila kitu kitakua sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…