πππSijui kama atalala πππ
Asante βΊοΈβΊοΈNimeuona uzuri wako
Asante βΊοΈβΊοΈ
Ahaa uko poa lkn?Sijamuona
Ndiko nilikoitoa π€£π€£π€£π€£Kule siasani kuna mtu amemtukana hivyo Mkuu wa mkoa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Wamemtukana baba wa watu..Ndiko nilikoitoa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yani saivi sisi Chelsea tunapelekewa Moto Ni balaa ..tuneshakuwa matakataka hatuna maana Tena πππNilikuwa na stress zangu ila baada ya kuingia Uzi wa Chelshit stress zote zimeisha.
Yaani nimecheka...wanasema Kwa uzwazwa wa Tuchel,hata wakicheza na Tukuyu Fc wanafungwaπ€£π€£π€£
Tuchel anafaa liverkuku siyo Chelsea ..huyu Ni avereji kocha anafaa timu Kama liverkuku ivi..Wamemtukana baba wa watu..
Ule uzi nilikuwa nausoma usiku nilitaka kuzimia Kwa kicheko[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
ila si unajua jioni huwa napenda niniπππ
Ni matakataka ya kuchomwa tuπππYani saivi sisi Chelsea tunapelekewa Moto Ni balaa ..tuneshakuwa matakataka hatuna maana Tena πππ
Usitupachikie watubwa hovyohovyo kwenye timu kubwa liverTuchel anafaa liverkuku siyo Chelsea ..huyu Ni avereji kocha anafaa timu Kama liverkuku ivi..
Watu wamepinda jamanπ€£π€£π€£Kule siasani kuna mtu amemtukana hivyo Mkuu wa mkoa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Eti Mashavu yake kama anatafuta mchele mbichi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Watu wamepinda jaman[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nipo wizooooβ£οΈNilikuwa sijui
Nikashangaa tu sikuoni jamani wizoo π
Selfika wizo jamani π₯°Nipo wizooooβ£οΈ
Base basi nifike homeπ