Selfika na JF: Snap it. Show it

Of all people waliona ww ndo unaweza amua?
 
Ugomvi wa nini tena usiku usiku😂😂😂

Msuba haujawahi kuleta matokeo mazuri hata siku moja
Leo siku utaiona ndefu sana na huo usingz labda ujikeep busy
 
Kati ya kazi ambayo huwa haiishi ni pamoja na kusuluhisha ugomvi..
Watu wakiamua kugombana ni hadi waamue wenyewe kuacha.
 
Of all people waliona ww ndo unaweza amua?
Mkaka alienda akashindwa 🙌

Akanipigia mimi, eti yule jamaa anaweza kukusikiliza .. huo muda mie nimemute kwangu nasikilizia

Nikaenda mtu na sauti yangu, yenye unyenyekevu ikiamuaga Lenie

Akapoa kidogo yule jamaa
Ila hasira mingi, akapanick tena.. mtu namlisha namlipia kodi anaenda to…m na boda boda.. akawaka upya 🙌

Mengine siwezi andika.. sio mazuri hata…

Ila nimeogopa sana 😂
Sitaki mchezo na wanaume
Khaaa
Hao watu wana panick mbaya sanaaa

Uzuri, nilifanikiwa mtuliza
The rest hayanihusu
Na jana imekuwa ya kwanza na mwisho.. isije siku nyingine kikarushwa kitu kikaniumiza kimasihara 🙌🙌
 
Jamaa alikuwa sahihi kukuita. Unajua kwenye situation kama hiyo unaangalia mtu ambaye wanasikilizana huyo akienda ana probability kubwa ya kusikilizwa.

🤣🤣🤣 Eti umeogopa.

Kweli unaweza kwenda kwa lengo Zuri tu la kuamua ila unashangaa unaumizwa.
Kweli ww ni mnoma, yaani ulimtuliza mwamba akakaa kwa kutulia
 
Ugomvi wa nini tena usiku usiku😂😂😂

Msuba haujawahi kuleta matokeo mazuri hata siku moja
Leo siku utaiona ndefu sana na huo usingz labda ujikeep busy
Shetani alimpitia mtu 😂😂 Shetani kampitia mtu, shetani huyo huyo akamsahaulisha mtu ushahidi… mtu zikawa 40 za mwizi zimefika 🙌🙌🙌


Sahivi watu washakula mshahara wanakaribia kuumaliza 😂😂 hamna hata cha kunikeep sana busy,,
Nitakuwa naenda kunawa uso
 
Kati ya kazi ambayo huwa haiishi ni pamoja na kusuluhisha ugomvi..
Watu wakiamua kugombana ni hadi waamue wenyewe kuacha.
Sasa mmoja ana nguvu
Mwingine hana
Hapo lazima mtu atoke damu..

Yule dada ni mweupe
Si leo ataamka mwekundu?
Kwanza niliacha damu zinamtoka puani..

Uzuri mle ndani mnaweza maliza week hata 2 hata hamjakutana
Sitamani kukutana na yule kaka 🙌
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…