Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Aug 31, 2022 #258,281 Antonnia said: sophy27 mdogo wangu sijaona Jamani tena nataka by saa 4 nikasuke rudia nione msuko dear pullliiiizzzzz!! Click to expand... Hata mimi namsubiri Auntie apost,,fundi tayari ameshafika hapa.. tunasubiri naye picha ya Auntie sophy27 .
Antonnia said: sophy27 mdogo wangu sijaona Jamani tena nataka by saa 4 nikasuke rudia nione msuko dear pullliiiizzzzz!! Click to expand... Hata mimi namsubiri Auntie apost,,fundi tayari ameshafika hapa.. tunasubiri naye picha ya Auntie sophy27 .
Depal JF-Expert Member Joined Nov 26, 2018 Posts 50,524 Reaction score 203,272 Aug 31, 2022 #258,282 Carlos Tevez said: 🤣🤣🤣 Click to expand... Niache bana 😂😂
Carlos Tevez JF-Expert Member Joined Jun 8, 2022 Posts 383 Reaction score 1,021 Aug 31, 2022 #258,283 Saint Anne said: Wanapigwa hadi na Southampton Pana timu hapo kweli? Sasahivi wanamwita kocha mviziaji 🤣🤣🤣🤣 Click to expand... Hahahhaaa Wamekuwa watu wa jazba tena? Kwamba Mtaalamu TT Mwalimu wa makocha amekuwa mviziaji mara hii?
Saint Anne said: Wanapigwa hadi na Southampton Pana timu hapo kweli? Sasahivi wanamwita kocha mviziaji 🤣🤣🤣🤣 Click to expand... Hahahhaaa Wamekuwa watu wa jazba tena? Kwamba Mtaalamu TT Mwalimu wa makocha amekuwa mviziaji mara hii?
Depal JF-Expert Member Joined Nov 26, 2018 Posts 50,524 Reaction score 203,272 Aug 31, 2022 #258,284 Carlos Tevez said: Fit sana. Jana ukapotea ghafla bin vu. Vp tena kulikoni? Click to expand... Nililala bana 😂 Dk ya 70 na ngapi sijui Nikazima Tv nikalala
Carlos Tevez said: Fit sana. Jana ukapotea ghafla bin vu. Vp tena kulikoni? Click to expand... Nililala bana 😂 Dk ya 70 na ngapi sijui Nikazima Tv nikalala
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Aug 31, 2022 #258,285 Depal said: 🤣🚮 Click to expand... Na Mendy ati anafuga tako Chelsea mna maneno nyie😂😂😂😂💔💔💔💔💔💔🔥🔥🔥🔥
Depal JF-Expert Member Joined Nov 26, 2018 Posts 50,524 Reaction score 203,272 Aug 31, 2022 #258,286 Carlos Tevez said: Hahahhaaa Wamekuwa watu wa jazba tena? Kwamba Mtaalamu TT Mwalimu wa makocha amekuwa mviziaji mara hii? Click to expand... Achana na huyo mbea
Carlos Tevez said: Hahahhaaa Wamekuwa watu wa jazba tena? Kwamba Mtaalamu TT Mwalimu wa makocha amekuwa mviziaji mara hii? Click to expand... Achana na huyo mbea
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Aug 31, 2022 #258,287 Carlos Tevez said: Hahahhaaa Wamekuwa watu wa jazba tena? Kwamba Mtaalamu TT Mwalimu wa makocha amekuwa mviziaji mara hii? Click to expand... Wamempachika jina jingine tena Mtalaam TT wanamwita "Kubwa jinger"🤣
Carlos Tevez said: Hahahhaaa Wamekuwa watu wa jazba tena? Kwamba Mtaalamu TT Mwalimu wa makocha amekuwa mviziaji mara hii? Click to expand... Wamempachika jina jingine tena Mtalaam TT wanamwita "Kubwa jinger"🤣
Depal JF-Expert Member Joined Nov 26, 2018 Posts 50,524 Reaction score 203,272 Aug 31, 2022 #258,288 Saint Anne said: Na Mendy ati anafuga tako Chelsea mna maneno nyie😂😂😂😂💔💔💔💔💔💔🔥🔥🔥🔥 Click to expand... 😂😂😂😂 🙌🙌 Sema game ya jana pia watoto wa St Mary walikuwa wanabanaa sana 😂😂 itakuwa kocha wao aliwaambia wajae golini kwao
Saint Anne said: Na Mendy ati anafuga tako Chelsea mna maneno nyie😂😂😂😂💔💔💔💔💔💔🔥🔥🔥🔥 Click to expand... 😂😂😂😂 🙌🙌 Sema game ya jana pia watoto wa St Mary walikuwa wanabanaa sana 😂😂 itakuwa kocha wao aliwaambia wajae golini kwao
Carlos Tevez JF-Expert Member Joined Jun 8, 2022 Posts 383 Reaction score 1,021 Aug 31, 2022 #258,289 Depal said: Nililala bana 😂 Dk ya 70 na ngapi sijui Nikazima Tv nikalala Click to expand... Usingizi ulikuja kweli? Au ndo ulijipa moyo ukiamka utakuta mlishinda
Depal said: Nililala bana 😂 Dk ya 70 na ngapi sijui Nikazima Tv nikalala Click to expand... Usingizi ulikuja kweli? Au ndo ulijipa moyo ukiamka utakuta mlishinda
Carlos Tevez JF-Expert Member Joined Jun 8, 2022 Posts 383 Reaction score 1,021 Aug 31, 2022 #258,290 Saint Anne said: Na Mendy ati anafuga tako Chelsea mna maneno nyie😂😂😂😂💔💔💔💔💔💔🔥🔥🔥🔥 Click to expand... Hahahhaaaa
Saint Anne said: Na Mendy ati anafuga tako Chelsea mna maneno nyie😂😂😂😂💔💔💔💔💔💔🔥🔥🔥🔥 Click to expand... Hahahhaaaa
Depal JF-Expert Member Joined Nov 26, 2018 Posts 50,524 Reaction score 203,272 Aug 31, 2022 #258,291 Nimekaa hapa nakumbuka ile voicenote Lenie 😂😂😂😂
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Aug 31, 2022 #258,292 Depal said: 😂😂😂😂 🙌🙌 Sema game ya jana pia watoto wa St Mary walikuwa wanabanaa sana 😂😂 itakuwa kocha wao aliwaambia wajae golini kwao Click to expand... Sasa huyo Tuchel wenu alijaza mabeki tu! Mlitegemea nini?🤣🤣🤣🤣🤣
Depal said: 😂😂😂😂 🙌🙌 Sema game ya jana pia watoto wa St Mary walikuwa wanabanaa sana 😂😂 itakuwa kocha wao aliwaambia wajae golini kwao Click to expand... Sasa huyo Tuchel wenu alijaza mabeki tu! Mlitegemea nini?🤣🤣🤣🤣🤣
Carlos Tevez JF-Expert Member Joined Jun 8, 2022 Posts 383 Reaction score 1,021 Aug 31, 2022 #258,293 Saint Anne said: Wamempachika jina jingine tena Mtalaam TT wanamwita "Kubwa jinger"🤣 Click to expand... 🙌🙌 ama kweli ushabiki ni kazi
Saint Anne said: Wamempachika jina jingine tena Mtalaam TT wanamwita "Kubwa jinger"🤣 Click to expand... 🙌🙌 ama kweli ushabiki ni kazi
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Aug 31, 2022 #258,294 Carlos Tevez said: Hahahhaaaa Click to expand... Leo Mendy wanamwita takataka 😂(Kwa sauti ya OllaChuga Oc )
Carlos Tevez said: Hahahhaaaa Click to expand... Leo Mendy wanamwita takataka 😂(Kwa sauti ya OllaChuga Oc )
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Aug 31, 2022 #258,295 Carlos Tevez said: 🙌🙌 ama kweli ushabiki ni kazi Click to expand... Halafu hao ni Chelshit wenyewe wamempa hilo jina🤣🤣🤣🤣 Ati Mviziaji kiazi😂😂😂😂
Carlos Tevez said: 🙌🙌 ama kweli ushabiki ni kazi Click to expand... Halafu hao ni Chelshit wenyewe wamempa hilo jina🤣🤣🤣🤣 Ati Mviziaji kiazi😂😂😂😂
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Aug 31, 2022 #258,296 Nilikuwa na stress zangu ila baada ya kuingia Uzi wa Chelshit stress zote zimeisha. Yaani nimecheka...wanasema Kwa uzwazwa wa Tuchel,hata wakicheza na Tukuyu Fc wanafungwa🤣🤣🤣
Nilikuwa na stress zangu ila baada ya kuingia Uzi wa Chelshit stress zote zimeisha. Yaani nimecheka...wanasema Kwa uzwazwa wa Tuchel,hata wakicheza na Tukuyu Fc wanafungwa🤣🤣🤣
Depal JF-Expert Member Joined Nov 26, 2018 Posts 50,524 Reaction score 203,272 Aug 31, 2022 #258,297 Carlos Tevez said: Usingizi ulikuja kweli? Au ndo ulijipa moyo ukiamka utakuta mlishinda Click to expand... Nililala Usiku mnene nikashtuka Nikaitwa nikagombelezee ugomvi😂 Lenie jana ndio nimejua hawa wanaochomana visu kuna mengi walipitia 🙌🙌 Hapa ninahisi kuumwa kichwa cha usingizi Smokers are fyakin dangerous Jana nimeona Khaaa Mtu akikuvutia aisee anaweza kukuua hivi hivi🙌🙌🙌
Carlos Tevez said: Usingizi ulikuja kweli? Au ndo ulijipa moyo ukiamka utakuta mlishinda Click to expand... Nililala Usiku mnene nikashtuka Nikaitwa nikagombelezee ugomvi😂 Lenie jana ndio nimejua hawa wanaochomana visu kuna mengi walipitia 🙌🙌 Hapa ninahisi kuumwa kichwa cha usingizi Smokers are fyakin dangerous Jana nimeona Khaaa Mtu akikuvutia aisee anaweza kukuua hivi hivi🙌🙌🙌
Depal JF-Expert Member Joined Nov 26, 2018 Posts 50,524 Reaction score 203,272 Aug 31, 2022 #258,298 Carlos Tevez said: 🙌🙌 ama kweli ushabiki ni kazi Click to expand... Kazi kubwa sana
Carlos Tevez JF-Expert Member Joined Jun 8, 2022 Posts 383 Reaction score 1,021 Aug 31, 2022 #258,299 Saint Anne said: Leo Mendy wanamwita takataka 😂(Kwa sauti ya OllaChuga Oc ) Click to expand... OllaChuga Oc mwamba kama namuona alivyokuwa mdogo kama piriton
Saint Anne said: Leo Mendy wanamwita takataka 😂(Kwa sauti ya OllaChuga Oc ) Click to expand... OllaChuga Oc mwamba kama namuona alivyokuwa mdogo kama piriton
Depal JF-Expert Member Joined Nov 26, 2018 Posts 50,524 Reaction score 203,272 Aug 31, 2022 #258,300 Saint Anne said: Sasa huyo Tuchel wenu alijaza mabeki tu! Mlitegemea nini?🤣🤣🤣🤣🤣 Click to expand... Bana weee Atakuwa amesoma maoni ya watu Next game atarekebisha
Saint Anne said: Sasa huyo Tuchel wenu alijaza mabeki tu! Mlitegemea nini?🤣🤣🤣🤣🤣 Click to expand... Bana weee Atakuwa amesoma maoni ya watu Next game atarekebisha