Naomba nikae chini nicheke kwanzaπ€£π€£π€£π€£
Weeee kumbe niniUzuri wa mwanamke sio sura [emoji16][emoji16]
πππ macho ya muonajiWeeee kumbe nini
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]hivi siku hizi voda wanakunywa bundle au inakuwaje mbona sielewi nini kinaendela kila saa nakutana 75% imeenda
Nisamehe
Mie ni mtetezi sana wa voda ila kwa mwendo huu wananiweza. Au na bundle lina tozo π₯Ήπ₯Ή[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hebu jichagulie mwenyewe kitu cha mimi kukufanyaNisamehe
Ushuani huko
Hebu jichagulie mwenyewe kitu cha mimi kukufanya
Jamani....nilijua umepumzika πhujaniaga πππ
ππππ sikuwa nime puumzika hataJamani....nilijua umepumzika π
Njia nzuri sana ya kuepuka majukumu, ungemuaga hachelewi kusema ukirudi umletee zawadi ya kahawa kilo 1...Jamani....nilijua umepumzika π
AiseeNimelegezwa kihisia π€£π€£π€£π€£