Tall Dark and Handsome + Uchebe 🤣
Braza hii kitu inanitesa wallah
Nimekuja huku Nampalahala kutafuta hii kitu lakini wapi?
Kwenye orodha umebaki peke yako chief🙌🙌
Karoho ka uroho kananishawishi kuondoka na wine, Mara Robertson ilee. Ila si mchezo, mgawaha wa Kanisa unashawishi.
Karibu Mbinga!.View attachment 2338070