National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,175
- 56,212
Mie nataka karangaa mbichi kwa wingi shangazi πππ ambazo zimetoka toka shambaniNawaletea vyote mjomba nyie andaeni list ya mnavyotaka tu
Andaa list ya unavyotaka naja mjiniiπWachaa
Oh kabisa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]! Kwahio huu Mwili Wangu unaona umepungukiwa madini rafiki??? [emoji6][emoji6][emoji848]
Trobaaaaaahh!π€ Utaenda zilia kwako lakini mjomba si ndio!πMie nataka karangaa mbichi kwa wingi shangazi πππ ambazo zimetoka toka shambani
Nazipenda sana, hapa nilipo nazila nimesahahu hata chai, napiga zenyewe na sukari ππTrobaaaaaahh!π€ Utaenda zilia kwako lakini mjomba si ndio!π
Hapo umerenga penyewe walai! Mafuta yamerundikana hadi sio poa!! Sura ishakua kama fenesiiiππ Mrashia arudi tu jamani!!πΆπΌββοΈOh kabisa
Unahitaji protini
Za kukata mafuta kidogo
Unashiba kweli??Nazipenda sana, hapa nilipo nazila nimesahahu hata chai, napiga zenyewe na sukari ππ
Nakupenda pia babygirlπππNawapenda nyie watu wawili ππ Lenie myoyambendi
Mko so sosho, and loyal
Shikamoo jiraniβ¦
Shoga angu hujambo?
ππππ
Poker masta wa kiherehere πππ
Carrasco putin mr mitelezeo
Saint Anne cake jana ilikuwa tamu, nikijisikia kushea picha nitashea..
Heaven Sent ulezi mwema mama Abiud, mtoto aanze kutembea urejeee selfika π₯°
Bwana weee ona π€£π€£π€£π€£ huu mkeka ukitick mambo ni π₯π₯π₯Imeisha hiyo
Shangzi badae kidogo, hapa sijavaa nipo kifua wazi na boksa tuu kama ya jux π€£π€£National Anthem mjomba nasubiria selfii yako hapa
zinashibisha vizuri sana kukata njaaa yote ππUnashiba kweli??
Itabidi nitangulie mie kuripot ila Wigelekelo akiwa anarudi toka Burundi ntamuomba apitie virago vyangu anijie navyo asee atakapoviweka atajua yeye!Utanikuta Shangazi standa naiusbiri basi au airport ? lazima nikupokee shangazi yangu π€π€π€
Njaa kama njaa! Sauwaaa mjomba selfika basi!!zinashibisha vizuri sana kukata njaaa yote ππ
Trobaaaaaahhπ³ ππππππΌββοΈππΌββοΈShangzi badae kidogo, hapa sijavaa nipo kifua wazi na boksa tuu kama ya jux π€£π€£
[emoji1787]Trobaaaaaahh![emoji2960] Utaenda zilia kwako lakini mjomba si ndio![emoji6]
NimeonaBwana weee ona [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] huu mkeka ukitick mambo ni [emoji91][emoji91][emoji91]View attachment 2337232
ππ Karibu sana shangaziItabidi nitangulie mie kuripot ila Wigelekelo akiwa anarudi toka Burundi ntamuomba apitie virago vyangu anijie navyo asee atakapoviweka atajua yeye!
πππ nahisi kesho kufikia saa sita za usiku nitakuwa na mzigo wangu eehπ€£π€£π€£Nimeona