Let the rain come down and wash away your tears
Let it fill yoursoul and drown your fears
Let it shatter the walls for a new sun
A new day has come π«
A new day has come! In all darkness's there's always a light! A smile is always a good answer. Let your fears dwell in yesterday's wind! Good morning to you AntonniaView attachment 2336049
Sijui kama nime hesabiwa au sijahesabiwa , ingawa nilipenda wanibahatishe mahala nihesabiwe ila ndio ivyo tusio na makazi wametutenga π΅βπ«π΅βπ«π΅βπ«
Hili zoezi ni bora mabalozi na wenyeviti wangepita kuhesabu watu wao, then makarani wakakuta data zote ofisi za serikali za mitaa, ndipo waanze ku feed data kwenye vishikwambi vyao,watu wengi wanalalama hawajapita kuwahesabu..
Hapa Bariadi Simiyu zoezi limeenda vzr makarani wamefanya kazi yao kwa welendi mkubwa mimi nilihesabiwa tarehe 23 mkuu
Nina hakika hata ndugu yangu T 1990 ELY kama amefikiwa na karani
Hapa Bariadi Simiyu zoezi limeenda vzr makarani wamefanya kazi yao kwa welendi mkubwa mimi nilihesabiwa tarehe 23 mkuu
Nina hakika hata ndugu yangu T 1990 ELY kama amefikiwa na karani