πππMkaa[emoji1751]
Uliyenirogea kwenye keki safari hii shikilia hapohapo View attachment 2334451View attachment 2334456View attachment 2334457
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Black Thought ni Rapper hatari...Halafu sijui kwanini John Legend hakujiunga na The Roots tu π π
Huenda muumini wa one man army ππ huu moto ulikuwa π₯π₯π₯π₯Black Thought ni habari nyingine... Sijui kwanini John Legend hakujiunga na The Roots tu π π
View attachment 2334492
Tupo hapa vijijini katikati tunakusubiri [emoji23][emoji39][emoji39][emoji39]
Kwani unaishi wapi nije nikusalimie nimekumiss[emoji23][emoji23]
Hatari kwa wazee!ππ½ππ½ππ½ππ½ππ½ππ½
Eeeh, hili nalikumbuka bwana 2009 hiyo, nilikuwa nasikiliza pamoja na hili!Huenda muumini wa one man army ππ huu moto ulikuwa π₯π₯π₯π₯View attachment 2334501
Jamaaa ana mkono , Kush mkono ulitenda haki.. unaweza ondoa maneno yote ukabaki na beat tuEeeh, hili nalikumbuka bwana 2009 hiyo, nilikuwa nasikiliza pamoja na hili!
View attachment 2334508
Huyu naye ana mkono aiseee!Jamaaa ana mkono , Kush mkono ulitenda haki.. unaweza ondoa maneno yote ukabaki na beat tuView attachment 2334510
Ninapaa Kesho ndugu yangu.Mm niko poa sn
Vp umepaa au bado upo mjini?
πππ Timbaland ni hatari kwenye eneo lake .. na kuna watu aliwapatia sana jamaaHuyu naye ana mkono aiseee!
View attachment 2334511
Nimeacha kuanzia leoπππππCoca mtu mbad[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hadi nashangaa kama huyu ni Mjep kweli!
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
πͺπͺNilikuwa na safari ya huko ila nimeifuta,Arusha mmetisha[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
πππ Timbaland ni hatari kwenye eneo lake .. na kuna watu aliwapatia sana jamaaView attachment 2334514
Umenikumbusha mbalii hii ngoma πππJustin mwenyewe alikuwa ni π₯π₯π₯ haya majamaa zamani yalikuwa yanajua sana
Siyo kweli...Hatari kwa wazee!ππ½ππ½ππ½ππ½ππ½ππ½
Wacha weeh!!Siyo kweli...
Hizi zinasaidia kuondosha mrundikano wa lehemu (cholesterol) katika mishipa ya damu na kupunguza presha (na hivyo kuimarisha mfumo mzima wa mzunguko wa damu (cardiovascular system). Pamoja na zazibu nyekundu zinasaidia pia kulainisha mishipa ya damu iliyoanza kukakamaa.
Faida zingine ni za ziada na au zinahusiana na hizi πππ
Nyie ndio mnaharibu zoezi eeh! TutawakamataNimetekwa na binti wa sensa [emoji726]