Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,567
- 235,405
Tutawekwa ndani 🤣🤣🤣🤣🤣Hujasikia tangazo la jana eeh!!!
Ni marufuku kuwapiga picha makarani bila idhini yao......
🤣🤣🤣🤣Tunafanana mashati😁
Kwani mimi jina langu kwenye orodha ya Dark Tall guy mama mchungaji Heaven Sent aliniondoa??
Nimeshangaa kizibao cha karani hujakiona mama mchungaji wewe umeona mawani tu, au niondoe hayo mawani?Hahaa sawa karani
Halafu ukamnyima na chai.....Tutawekwa ndani 🤣🤣🤣🤣🤣
Imagine karani anatrend kwenye meme kwamba yupo kaya ya kwanza muda wote aisee.
Inaweza kumharibia kazi.
Umeona kitu naked boss lady!
Wambie wajumbe hiyo ndiyo naked😃
Karani alikuja muda mbaya ninaoanza kusukuma chapati.Halafu ukamnyima na chai.....
Wewe sijui mnyakyusa wa wapi wewe.....
Em piga picha nyingine ukiwa umesimama, nione na rangi ya mwili. Hapo nitajua height na color then niku-group wapiTunafanana mashati😁
Kwani mimi jina langu kwenye orodha ya Dark Tall guy mama mchungaji Heaven Sent aliniondoa??
Em yaondoe nione 😂😂Nimeshangaa kizibao cha karani hujakiona mama mchungaji wewe umeona mawani tu, au niondoe hayo mawani?
Miwani ya watu wenye hela haina mbwembwe..Nimeshangaa kizibao cha karani hujakiona mama mchungaji wewe umeona mawani tu, au niondoe hayo mawani?
Em nione ya kwako[emoji23][emoji23]Miwani ya watu wenye hela haina mbwembwe..
Ya kwetu sasa akina Mimi ..unaweza dhani ni mapambo.
Aaah, wewe ni mnyakyusa wa mchongo.......Karani alikuja muda mbaya ninaoanza kusukuma chapati.
Angekuja saa4 hivi angekunywa kwanza chai ndio tuendelee.
Na amekaa saa nzima,wakati anaaga alivutavuta muda 😂😂maskini nikamuonea huruma.
Nakuombea huyu Roho wa Bwana aliyenitembelea na akaweke makazi ya kudumu nafsini mwako ili uendelee kutubariki wana selfika na pindi utupiapo ile selfie ya skuna basi usiifute hadi niikute madam😄Naked ya wapi. Na Leo Roho wa Bwana alikutembelea, picha ilikaa for a minute. Maana huwa unapost picha afu unaishia kuiona mwenyewe; ikimaliza tu kuload unafutaaaa
Saa2 kamili naanza kusukuma chapati ndio anafika..Aaah, wewe ni mnyakyusa wa mchongo.......
Ninyi ndiyo wale wanaitwa WAJANGA......
Bwana ameisikia haja ya moyo wako.Nakuombea huyu Roho wa Bwana aliyenitembelea na akaweke makazi ya kudumu nafsini mwako ili uendelee kutubariki wana selfika na pindi utupiapo ile selfie ya skuna basi usiifute hadi niikute madam[emoji1]
Saint Anne naomba umtumie mama mchungaji ile picha tulipiga pamoja pale Iyunga tukiimba Tumogele ili na mimi wanirudishe kwenye grupu la Dark Tall litakosa watu hili grupu atabaki Wigelekelo peke yake😃Em piga picha nyingine ukiwa umesimama, nione na rangi ya mwili. Hapo nitajua height na color then niku-group wapi
Zile zipo kama za mapamboEm nione ya kwako[emoji23][emoji23]
Mama mchungaji na log off🏃🏃🏃🏃🏃🏃Bwana ameisikia haja ya moyo wako.
Nkamu umechachuka siku hizi jamani[emoji23][emoji23][emoji134][emoji134]