Post M-alone
JF-Expert Member
- Aug 18, 2021
- 2,962
- 9,557
Mkuu unapotea sana..There must be a reason. But whatever it is; hakikisha unafufua upya mahusiano yako na Mungu. Na ni vyema kukutana (fellowship) na wengine; kumwabudu Mungu, kuomba, kujifunza neno n.k. Mungu akuongoze kupata mahali sahihi pa kuabudu
NimechekaHaelewi
Hebu mpe samare
Nimekwisha 🤣🤣Tutam-surprise kilazima
Nakusalimia mremboNimekwisha [emoji1787][emoji1787]
Mrefu km mwanzi [emoji848][emoji28][emoji28]Sasa eti mwanamke anakuwa mrefu kama muanzi,ulisikia wapi
Captain; nimerudi kijiweni sasa.Mkuu unapotea sana..
Na utakwisha kwerikweri. Tukiamua la kwetu ndiyo limekuwa hivyo😁😁Nimekwisha 🤣🤣
[emoji1787]Puturu ninini wee ngosha??
Mjukuu wako anakusalimia, leo birthday yake bwanaaa mje kula kekiSi umeridhika
Kaa hivyo hivyo
Masanja mkamizaji au MashimoAhsante Surbi..
Ya serikali naifahamu lkn hatupendelei...
I just hope kuna namna naweza pata upenyo tukafungishwa na Mchungaji wa kiroho..
Naamini kuna wachungaji huenda wana serve watu kama mimi..
Sawa sawa mkuu, Karibu sana, vipi huko karani amepita?Captain; nimerudi kijiweni sasa.
Oh yeahUfupi wa kina cha chini[emoji41]!
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji2]
Unajua kupoteaTall dark guy.