Selfika na JF: Snap it. Show it

Hawawez kukataa sidhani kama inaweza kuwa hivo japo sio muumin huko nenda Kwa askofu wako ongea nae naamini litakaa sawa
 
Ahsante Surbi..

Ya serikali naifahamu lkn hatupendelei...

I just hope kuna namna naweza pata upenyo tukafungishwa na Mchungaji wa kiroho..

Naamini kuna wachungaji huenda wana serve watu kama mimi..
Ndio mkuu wapo mbona! Ongea nae vizuri tu atakuelewa!
 
Maamuzi sahihi..Mungu awafikishe safari yenu salama,awaepushe na kila hula za muovu shetani
 
Ahsante Surbi..

Ya serikali naifahamu lkn hatupendelei...

I just hope kuna namna naweza pata upenyo tukafungishwa na Mchungaji wa kiroho..

Naamini kuna wachungaji huenda wana serve watu kama mimi..
Sasa unataka nini Mkuu?
Kanisani hutaki, serikalini hutaki.
Rarely Cases huwa inatokea watu kufungishwa nje na Kanisani,,mfano labda uko hoi kitandani hujiwezi.
Nje na hapo hauna shida yoyote labda mpate mchungaji kanjanja awafuate.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…