Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,582
- 235,437
Huo uwezo SinaIkibidi hapo hapo ofisini waombe wakufidie gharama walizokukata na fidia..
Au kama we ni wakili msomi deal nao mbere kwa mbere...
Vitu napendagaππBachelor things Lenie View attachment 2333695
Upande wa miamala hakuna shida..Hapana wakati mwingine kuwa na sim cards tofauti inasaidia kwenye miamala, airtime n.k, fika ofisi zao waelezee watakusaidia haraka...
Sasa usiendelee kulalamika, na wewe ni taswira ya wa Tanzania wengi tulivyo... Hatujiamini...Huo uwezo Sina
Nilivyoona nakatwa kila mara nikaamua kuachana na mtandao wao
Nimekubaliπ€£π€£Sasa usiendelee kulalamika, na wewe ni taswira ya wa Tanzania wengi tulivyo... Hatujiamini...
Kwa hio umekubali dhulma?
Dada utakuwa unanyanyua vyuma vizito hiko kigimbi na hizo muscles sio mchezo...π€ΈββοΈ
View attachment 2333725
Yaani wewe ni chiziπ€£π€£π€£π€£Sister una kigimbi kama Mayele, we huchezi mpira kweli..
Yua raiti chiefDada utakuwa unanyanyua vyuma vizito hiko kigimbi na hizo muscles sio mchezo...
π₯π₯π₯π€ΈββοΈ
View attachment 2333725
Chizi sana wewe π€£π€£π€£π€£π€£π€£Dada utakuwa unanyanyua vyuma vizito hiko kigimbi na hizo muscles sio mchezo...
Ndio wanadamu tukiobakiwa nao ndugu yanguWameipenda tu..hamna jingine.
Thanks...Yua raiti chief
Mzima wa afya ,anaupiga mwingi kutafuta pesa.
Hapana ni ya kwakoThanks...
Hio midomo kwenye profile pic ni yako...?
πππππππππππππππ₯π₯πHapana ni ya kwako
Miguu kama mshindi wa mita mia.. hebu niione kwanzaChizi sana wewe π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Sasa sisi wengine wenye tumilonjo si utasema tunacheza kareti
ππππππMiguu kama mshindi wa mita mia.. hebu niione kwanza
βTuta βni wewe na nani?Mzima wa afya ,anaupiga mwingi kutafuta pesa.
Ondoa shaka,tutakupa kabla hujadaiπ
Wewe una zawadi yetu special sana..tutakwambia Kwanini.