Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,570
- 235,411
Watu wa Arusha mmepeleka wapi kishkwambi cha kaminsaa jamani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji174]Mane kqwqachiq kijini
Halafu eti nilikapteni[emoji706]Kuna mzee wenu mmoja alilambishwa nyasi na Sancho bila kupenda [emoji1787][emoji1787]
Dj waleteeeeHalafu eti nilikapteni[emoji706]
Nilitamani kujikaba kwa maumivu ya wale wapumbavu mule uwanjani
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Mimi ninachojua ni kwamba kimeibiwa Arusha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mimi Sakina nilikuwa natembea hadi saa 6 uskku, tuko tu na shoga anguβ¦
Nikienda Dar saa 11 alfajiri nachoropokea tu hapo Raskazone alone na bag langu
Sikuwahi hata kusikia mluzi wa wee simama eti nianze kukimbia ama kuporwa ..
Ila nasikia kale ka mtaa ka Triple A kupanda ile rough road ya juu kunae vibaka balaa [emoji23][emoji23] sijui kule panaitwa white Rose.. sema huku sio Sakina si ndiyo? Carlos Tevez
Kishikwambi kimeibiwa uswahilini huko Matejoo sijui Unga Ltd Saint Anne itakuwa karani alikaa kireee sana , wajuba wakamsaidia matunzo [emoji23][emoji23][emoji23]
Umeisha hesabiwa au bado π¬π¬[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hilo swali nimejibu kibabe sana
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Hako ka mtaa triple A ni hatari tupu. Pale sio sakina bhana pale si Techical?Mimi Sakina nilikuwa natembea hadi saa 6 uskku, tuko tu na shoga anguβ¦
Nikienda Dar saa 11 alfajiri nachoropokea tu hapo Raskazone alone na bag langu
Sikuwahi hata kusikia mluzi wa wee simama eti nianze kukimbia ama kuporwa ..
Ila nasikia kale ka mtaa ka Triple A kupanda ile rough road ya juu kunae vibaka balaa ππ sijui kule panaitwa white Rose.. sema huku sio Sakina si ndiyo? Carlos Tevez
Kishikwambi kimeibiwa uswahilini huko Matejoo sijui Unga Ltd Saint Anne itakuwa karani alikaa kireee sana , wajuba wakamsaidia matunzo πππ
Naomba awalete na ule Wimbo wa Imagine being us...Dj waleteeee
Nimeshahesabiwa.Umeisha hesabiwa au bado [emoji51][emoji51]
Haha wee Matejoo hapana aiseeHahahhaaaaa. Tatizo ww umezoea huko ushuani kwenu tuu
Hongera nawasubiri na mie nihesabiwe, nikiulizwa mpo wangapi nataka idadi ya active wote wa jf nao wajua ππ
Kafie mbele π€£π€£ππMimi ninachojua ni kwamba kimeibiwa Arusha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Naomba awalete na ule Wimbo wa Imagine being us...
Kuandika nyuzi moja tu ushatuona wengine wasumbufuUnasumbua mchina mbongo
Ndio la msingi hiloMimi ninachojua ni kwamba kimeibiwa Arusha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Uone Chq list ama ππππ acha wehuEm nione π π
Huo uzi niliondikishwa kimasihara πKuandika nyuzi moja tu ushatuona wengine wasumbufu
WivuuuuuuNdio la msingi hilo