myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,136
Salama jirani, sijui wewe..Jirani umeshindaje
Huku kwema jirani.Salama jirani, sijui wewe..
Nilihesabiwa jirani, kama pesaπHuku kwema jirani.
Umefanikiwa kuhesabiwa?
NnAisee
Hujambo,
Iβm goodHujambo,
Watakuja kesho..Hawajanihesabu leo? Ndio hawanipati tena β¦
Kesho sipo⦠kwani tulipewa mapumziko siku zote?Watakuja kesho..
Utahesabiwa bila mwenyewe kuwepoππKesho sipoβ¦ kwani tulipewa mapumziko siku zote?
Hongera jirani, huku badoNilihesabiwa jirani, kama pesaπ
WachaaaUtelezi [emoji17]
Labda watahesabu kesho..Hongera jirani, huku bado
Mh!!....Utelezi π
Watapata wrong info..Utahesabiwa bila mwenyewe kuwepoππ
Jirani ππππ miguno ya nini?Mh!!....
Mko wangapi hapo kwenu?Watapata wrong info..
Mtoto wa mama mkwe aoneNimekuchagua wewe
Uwe wangu
Wangu wa maisha
Wa kufa na kuzikana
Sijali mengi maneno ya watu
Wasemayoo
Yaliyopita si ndwele
Tugange yanayokujaπ
7Mko wangapi hapo kwenu?
Lile neno lile jirani..mh!Jirani ππππ miguno ya nini?