[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]Wapenzi wee kuwa nao tuu lakini nachojua hawalambi asali kama unavyonipa
Mambo[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
Kaka mkubwa akiongea ameongea[emoji3526]Mdogo wangu ushachagua mimi nani wa kukataaa?? Ebu mkaribishe wifi yako mwambie hapa ndipo selfika
Asisahau kuselfika
Na hizo hesabu hapo ndo mahali pake
UpoMambo
Nipo mrembo. Mzima wewe?
Haya Usipepese hata kope Madam!!Nipo fanya mambo basi
Bado upo sis??
Mzima umeadimika ndio ulikuwa busy kumalizia ghetto lakoππππmsimu wa baridi kbla haujaishaπ€£Nipo mrembo. Mzima wewe?
Wapi Saint Anne ?Rashfodiiiiiiiiii Carlos Tevez
Mwamba yuko onside kabisa bhanaMwamba huyu hapaaa π€£π€£π€Έπ»ββοΈ
Checking possible offside
Mwamba - onside
Watu: weuweeeee π€£π€£π€£π€Έπ»ββοΈπ€Έπ»ββοΈ
View attachment 2331702
Atakuwa analia sahivi ππ€Έπ»ββοΈπ€Έπ»ββοΈWapi Saint Anne ?
Sasa si hawajaribu. Mpaka tunataka tuwasaidie tujifunge. Si ulimuona Fernandes pia?Jamani Rashford ππππ alisahau kama yuko golini kwao?
Carlos Tevez mngempa liva goal kizembe
Unakumbuka mbwembwe zake za jana lakini?Atakuwa analia sahivi ππ€Έπ»ββοΈπ€Έπ»ββοΈ
Ba mdogo hii mikato sio ya mtu mshamba safiii.
Leo msipojifunga sijui πSasa si hawajaribu. Mpaka tunataka tuwasaidie tujifunge. Si ulimuona Fernandes pia?
WivuMan u leo wamepata kipozeo