Kuna mtu hapa nimempenda sijui nimfate PM [emoji23][emoji23]
Lakini Naogopaaaaaa [emoji85][emoji85][emoji126]
Kuna mtu hapa nimempenda sijui nimfate PM [emoji23][emoji23]
Lakini Naogopaaaaaa [emoji85][emoji85][emoji126]
Nitume mimi jamaniNgoja ninywe k vant kwanza [emoji23][emoji23]
Mtaani kwetu darisalama apo
😂😂😂😂 banaa ye hajatupia leo wala JanaKhaaa kumbe nani jamani [emoji1787][emoji1787] si ndio nimeona mwanaume aliyetupia picha
Wa ndani mkuuNaona upo kwenye utalii madame
Nitamtag PM kwako 😂Nitume mimi jamani
Hata kama sijakunywa mirinda nyeusi nasemaa tuu
Nishasahau jamani ulikuwa wapi mda wote usiniulize
Unakumbuka siku ile ulivyogeuka ulitubinulia nini?Hapana auntie unalo ebu angalia no 8 ilivyojichora mimi mwanao na hii no 1 yangu unaniachaje [emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hahahaaa
Huwa nacheka sana ukiniambia sijui utani
Nakumbuka mbali.
Inawezekana ukawa ni wewe 😉[emoji3][emoji3][emoji3]fanya kama unanitaja mimi
Ni wivu tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hehehehhee mbona kupatwa kwa haiba
Mie sio muoga.
Nisamehe mimi jamaniUnataka viboko eeh?
Hapna mkuu[emoji4] Na wine kidogo bila shaka
Hivi tunazungumzia nini eti jamani