Hapa Tunachitchat tu burooo usichukulie siriazi π! Limekuingia??????Leo wanawake wa selfika sijui mmekula nn..mna kisirani hatariπ π ..Mdomo wa kike tena!!!?
AmenTo all the people with good heart,
One day you will get,what you deserve,[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Mm napigika sasa ππ ? Labda waje na moto wanichome, na hapo sijui nitakuwa nimeweka wapi miguu ya kukimbia πββοΈUtakuja kudundwa hiko kiemoji chako ohooππ
Poleni sanaNilikua msibani nimekuja kuitika wito wenu Ndugu zangu asanteni sana ngoja nirudi msibani!
Apumzike anakostahili bwana Augustino !
WifiHebu kwanza; Ambae hajaolewa anyooshe mkono juu kwanza ukute Ndiomana makelele yamezidi humu!![emoji41][emoji113]
MamboMm napigika sasa [emoji23][emoji23] ? Labda waje na moto wanichome, na hapo sijui nitakuwa nimeweka wapi miguu ya kukimbia [emoji2088]
Unaambiwa "Uzee kmnina sana"Poleni sana
Humu Mnapotea sana wifi !! Panapoa panapoa tena hadi panaboa sikuhizi!!Wifi
MamboUtakuja kudundwa hiko kiemoji chako ohoo[emoji23][emoji23]
Ni ubize tu wizoohHumu Mnapotea sana wifi !! Panapoa panapoa tena hadi panaboa sikuhizi!!
Unajiamini sana eehπ€£Mm napigika sasa ππ ? Labda waje na moto wanichome, na hapo sijui nitakuwa nimeweka wapi miguu ya kukimbia πββοΈ
tag location watu wateleze hapo!!πHapa imekosekana PISI tuu, mliopo Dodoma karibuni tumwagilie moyoView attachment 2330251
Poa LoveMambo
Vizuri wifii ukizingatia maisha yenyewe yanakaba kinoma!!Ni ubize tu wizooh
Shoss angu wewe teinaaaaaaaaaa!πππ[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Hebu ongea na boss afanye mpango, nataka bundle la monsiii.
Uwiiiih. Mic u xaan shouzzzzz.