Selfika na JF: Snap it. Show it

Kumbe kuna watu wanapata wake humu? Sasa mm nakwama wapi Pau Bae ?


Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Kwani wewe haujapata mchumba humu? Usisingizie ubosi


Selfika basi mrembo wangu

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Wake katafute kijijini kwenu,

Kilakukukunaanaemfugasasajichanganye
Wewe upo mtandaoni Kama hivi,unataka Kusema kwamba haufai kuwa mke just because upo online..yaani wake /mke anapatikana kijijini kusikko na jf? Not true

Kwanza sasa hivi kuoa/kuolewa ni kubeti maana hakuna wa kijijini wala wa mjini,wote wamebadilika,wote wameathirika na utandawazi,wote wanajua michezo michafu

Wa zamani siyo wa sasa mrembo!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…