Hiyo ya soseji umenikumbusha ndugu yangu flani alikua hajawah kuziona, hyo siku kaenda kwa babe wake akawa anatafuta kitu cha kula kupekua kwa fridge akakuta soseji akawa anazishangaa akasema ale tu hizo hizo maana njaa ilimkamata, akaing'ata akakutana na ladha mbayaa kumbe aliila mbichi
Tangia siku hiyo ni akaichukia hali tena hata baada ya kuijulia vzuri
Nikitaka kumchokoza hua namkumbushia hiyo anajichekaa.