Bana me bado sana πPizza me naipenda ila sio ya kula kila siku.
Me hua nakula kwa hamu nikiimiss, kama hapa kuila tena ni hadi next month.
Unajishaua, nitakushtua fuvu ohoo
Upoje π€£π€£π€£π€£π€£Bana me bado sana π
Baga nakula sana tu, ila pizza nzitooo hata kuitafuna π€£π€£π€£
Ni muhimu sana mafuvu kushtuliwa ππππ
Wanaserve hivyo sehem zote kumbeπππππ na biscuit zake kama uniform vile.. hapa natafuta chaka nipige sigara bwege
Nikuache me macheni π€£π€£Upoje π€£π€£π€£π€£π€£
Em niache mieππ
Wuuuu DT π€£π€£π€£Nikuache me macheni π€£π€£
ππππ code zako tuWuuuu DT π€£π€£π€£
Nimeshibaaa πππππππ code zako tu
Me hoiiiiiiiiii
Ndio kwanza 14:26 πππNimeshibaaa πππ
Wacha niangalie zangu movie masaa yaende
Yaani nitajuta mbonaNdio kwanza 14:26 πππ
Mpaka ifike 17:00
Mkiambiwa mkaitumikie serikali hamtaki π€£π€£Yaani nitajuta mbona
Watu wa serikali si uliwaona kule wanavyolalamikaπππMkiambiwa mkaitumikie serikali hamtaki π€£π€£
Sahivi ungekuwa unahesabu dk za kwenda nyumbani
Sema inabidi tufatilie bank kumefanyaje πππWatu wa serikali si uliwaona kule wanavyolalamikaπππ
Hapa kila mtu anaumia kwa namna yakeπ€£
Itabidi tumuulize yule mtoa mada, atupe majibu ya uhakikaSema inabidi tufatilie bank kumefanyaje πππ
π€Έπ»ββοΈSelfika na #tigo#
*104*035380296395900#
Nenda basiItabidi tumuulize yule mtoa mada, atupe majibu ya uhakika
Tumtume DT, si hayuko busy saivi atakua anazurura tuNenda basi
DT hamna kitu pale, atashindwa kuhoji maswali ya msingiTumtume DT, si hayuko busy saivi atakua anazurura tu
Kwamba ni DT?DT hamna kitu pale, atashindwa kuhoji maswali ya msingi