Selfika na JF: Snap it. Show it

Bora ulivyokuja jana niliingia humu juu nilikuwa busy mnoo niliona umetupia picha ukafuta ebu rudisha ukawa unaitwa mjeda


Ujue nikiingia humu nipo free nikiwa busy siwezi jamani nitagombana na wateja wangu uko
Hahahaaa mjeda au mlima choroko na kunde kilindi tanga.


Embu Fanya kwanza kutahabarisha habari ya biashara; umeongea swala muhimu sana hili. Ili tuje nasi siku mmoja kukuungisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…