GenuineMan
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 7,094
- 16,448
Pole,Antonnia ..... Watu humu wanamadharau sana.... Mwingine nae alinifuata pm akanambia ooh unajifanya kutuma mipicha ako kweny ule Uzi kwani unauza mbususu.... Watu humu Wana maneno sana........ Brother Shimba ya Buyenze unavosema sijui nile ni na nin me sitak kujua uliandika ukiwa serious au vp lkn sijapenda
Kwamba selfika ni wauza mbususuu???π³π³π³π³π³Mwache ateme nyongo hasira zimuishe maisha yaendelee!
Kwamba selfika ni wauza mbususuu???π³π³π³π³π³
Possibly π€·π€·π€·π€·
Hata sielewiii kitu nimemshauri tu sis angu mie!!Jamanii si kaomba msamaha sasa muda wote mnataka watu wawe serious?
Mi naongelea nilichomkosea mpaka nikaomba na msamaha. Hata akinigombesha ni sawa maana nilimkera japo mi nilidhani ni utani.Kwamba selfika ni wauza mbususuu???π³π³π³π³π³
Possibly π€·π€·π€·π€·
Bosi Ledi unataka kuyakuza mambo japo yalikuwa madogo sana. Let it go!Hata sielewiii kitu nimemshauri tu sis angu mie!!
Kumbe mshayamaliza?? Basi sauwaaaa haina noma msukuma βοΈβοΈβοΈβοΈBosi Ledi unataka kuyakuza mambo japo yalikuwa madogo sana. Let it go!
Nimeshamuomba msamaha kwa utani wangu ambao hakuupenda na kwangu yameshaisha. Full stop!
Ushahidi nikuletee ww ni askari zamuHuo ni uwongo chai hiyo huyo amedanganya alete ushahidi!
Kuna lingine ninalotakiwa kufanya mbali na kufuta komenti-fukuto; na kuomba msamaha kama nilivyofanya? π³π³π³π³π³Kumbe mshayamaliza?? Basi sauwaaaa haina noma msukuma βοΈβοΈβοΈβοΈ
Jamani mie nimeota kwani??? Si kaniambia Lovelovie mwenyewe hapo juu ndio nikamshauri hapo nini mbaya??Mi naongelea nilichomkosea mpaka nikaomba na msamaha. Hata akinigombesha ni sawa maana nilimkera japo mi nilidhani ni utani.
Aliyemfuata PM kumwambia hayo maneno ya mbususu si anamjua mwenyewe? Mbona nawe unayaleta hapa tena?
Weeeehhh nani kipenzi chako??? Shhindwaaaaaa!! πππππ!!Basi kipenzi changu yameisha embu selfika basi
Unachochea moto π₯π₯π₯Jamani mie nimeota kwani??? Si kaniambia Lovelovie mwenyewe hapo juu ndio nikamshauri hapo nini mbaya??
Mremboo mwenye shape lake la haja Mungu alikuumba ukaumbika hakika! β€οΈππWeeeehhh nani kipenzi chako??? Shhindwaaaaaa!! πππππ!!
Lovie usijali bbygal ππAntonnia ..... Watu humu wanamadharau sana.... Mwingine nae alinifuata pm akanambia ooh unajifanya kutuma mipicha ako kweny ule Uzi kwani unauza mbususu.... Watu humu Wana maneno sana........ Brother Shimba ya Buyenze unavosema sijui nile ni na nin me sitak kujua uliandika ukiwa serious au vp lkn sijapenda
Asante sana bageshi.Nishakusamehe brother Shimba