Selfika na JF: Snap it. Show it

Hahahaaa, siwezi kukuacha mwenyekiti tutakuwa wote, Mimi na wewe tena!!β€οΈβ€πŸ©ΉπŸ’“
Santo sana Katibu ushachukua likizo yako sasa ni zamu yangu au twaenda wote katibu wangu πŸ˜‰πŸ˜‰ Make hii ofisi inaenda kunishinda katibu nimeπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ˜‰πŸ˜‰??
 
Santo sana Katibu ushachukua likizo yako sasa ni zamu yangu au twaenda wote katibu wangu πŸ˜‰πŸ˜‰ Make hii ofisi inaenda kunishinda katibu nimeπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ˜‰πŸ˜‰??
Me nahisi twende wote maana wanakumendea hawa wajumbe!! πŸ˜‚ , tutajadili mbele huko tuludi au laah!!
 
Usisikize maneno ya humu sis humu kuna pipo pipo zinaongea mnooooooo!
Wauza mabusuu wanajulikana wala wasikuumize Kichwa sis akee tujiachie kwaraha zetuuuuu!!
 
Alikuwa anatania umepanick
 
Samahani bageshi.

Sikuwa siriazi. Ugali na michembe na maziwa mgando. Mavyakula yetu huku Misungwi.

Nisamehe bageshi. Nimeshafuta na sitakutania tena.

Afadhali hata umesema maana ungeendelea kukaa kimya kumbe unaumia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…