Bahati za nini mkuu?Aisee....Kuna watu wana bahati..ππ
Salama jirani..mimi sina wa kunimiss hapa jirani, labda Lenie kwa mbaaali...Sijambo jirani,, habari ya wewe?
Naaam jirani...@Lenie njoo unipe salam,πππ jiraniiiiiii
HahaWakimissika wanauliziwaππ
Asante jirani mwema,Haha
Hapana mkuu
Huyo ni zaidi ya mwezi sasa ndio maana nauliza,, isijekuwa ana majanga mazito,, namuombea arejee salama β Ni miongoni mwa wale marafiki wema..
Wewe potea hapa siku 3
Nitakutafutaaa hadi google ππ
Babe[emoji7]
Mpaka mnimiss...
Amen jirani⦠Love mingii mingiiiAsante jirani mwema,
Jirani yako ndio nduguyo..
Kheee π€£π€£π€£Mpaka mnimiss...
Si na mimi napotea. Tuone utakua unacheka na naniπ€£π€£πππ nitawachanganya niwasute?
Hahaaa.
Huku Mwanza vijijini [emoji4][emoji4][emoji4]Wapi huko? Leo kwetu saa 1 hapo kulikuwa na baridi sanaβ¦
Sahivi kuna kijua cha mchongo na kibaridi pia
SawA love ntafanya hivo asanteMe niko poa dear.
Uwii pole jamani, hapo hakikisha socks hazikosekani miguuni na sweta muda wote usije umwa kifua.
Baridi sio kabisa
Thubutuuuu!!! Bossi wangu anitosha mie Vijana maneno mingi sana utekelezaji ziroooππππ π€£π€π€π€Unashusha sera safi kama za Ruto bro. Jimbo lazima ulichukue dadeki! πππ