ππππ niacheee nikaamshe id nyingine nijipeleke chesiii nikagombeze hewaβ¦ nina hasira na Antoni nyampua π€£π€£π€£π€£Upojeπ€£π€£π€£π€£
Good girl, usisahau kusali kabla hujalala didi ake.
Salaam mkuu! Mie ni bukheri wa afya kabisa!! Karibu tena selfika Ile siku ulisema mida yetu utatupia haya sindikiza story na kaapicha pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!Jizazi πππ
Heshima yako Bosi Ledi
Kwani ile id bado unayo, si ulisahau password π€£π€£ nani kakukumbushaππππ niacheee nikaamshe id nyingine nijipeleke chesiii nikagombeze hewaβ¦ nina hasira na Antoni nyampua π€£π€£π€£π€£
Shetani yuko online, mida hii ukilala bila kuomba unaweza jikuta alfajiri uko uvunguni
Kaimba nani, nauombaaaKuna LOML pia
Ni moto ππ
πππShidaaaaa niii mekolea penzini
Shidaaa ni Babe uko moyonii
Nakupenda weeee
Nkutaka weeee
Kwake sijiwezi,, hadi jf sijii
Ooh My Loveee β€οΈ View attachment 2323979
Naifufua kwenye mambo za uswahili tu ππKwani ile id bado unayo, si ulisahau password π€£π€£ nani kakukumbusha
Acha ukorofi bana, maugomvi wewe wa kishua hayakufai, huyo dawa yake ndogo. Leta no tumtumie maπ· atadeal nae
Shetani sio poa kabisa
Kumbe ni huyuShidaaaaa niii mekolea penzini
Shidaaa ni Babe uko moyonii
Nakupenda weeee
Nkutaka weeee
Kwake sijiwezi,, hadi jf sijii
Ooh My Loveee [emoji3590] View attachment 2323979
Hivi mtoto wake anaitwa nani? Ndio nikajua yule kaka kumbe ni mcuteee ππππ
Sauti+lyrics ameuaaa
π€£π€£π€£Naifufua kwenye mambo za uswahili tu ππ
Byutiii byutiiii ngoja niwashe taa nijisnap niwawekee status πππ
Sifahamu kama ana mtoto.Hivi mtoto wake anaitwa nani? Ndio nikajua yule kaka kumbe ni mcuteee π
Safiii jirani..
Biurifooo