Nasikia vilele vinatofautiana kwenye intensity mkuu. Kuna kimoja sijui kinaitwa super kilele. Hiki inasemekana ni hatari na si ajabu kupasua capillaries za huko kichwani. Wanasayansi wanasema huwa inatokea mara moja kwa kila vilele 100 - 500 hivi japo siyo lazima kwa kila akifikiaye kuzima kama huyo binti.
Mambo ya kilele ni hatari.
Nimechezea sana kucha kwa warembo wawili yaani wa mwisho alikuwa hatari nilikula kucha mgongoni balaa yaani eti mtu anafurahia kilele.
Mambo ya kilele ni hatari.
Nimechezea sana kucha kwa warembo wawili yaani wa mwisho alikuwa hatari nilikula kucha mgongoni balaa yaani eti mtu anafurahia kilele.
Pole mkuu. Utakuja kuwasimulia wajukuu kuhusu hayo makovu uliyoachiwa. Tena wafunge kamba kuwa yalitokana na mapambano yako na simba na wanyama wengine wakali walipojichanganya na kuvamia ng'ombe uliokuwa ukiwachunga. Wajukuu utawasikia tu "kumbe we babu siyo mtu wa mchezo mchezo eeeh!"...Halafu wakikua kidogo utasikia babu yetu huyu kwa fiksi dah! 😁😁😁