Yani hata nisiposifiwa tena mpaka 2025 I'm good!!!!βΊβΊEbhanaee leo sifa atazioga sifa yake nyingine hapa ni picha
anapiga realtime pics π
Oooh ππ mimi hizi naona fiction inakua nyingi sana sizipendelei sanaMie huwa napenda za Kijasusi , hasa zinazi jumuisha sana matumizi ya ICT- Cyber War and Security na zina deal sana Technology .. na zile za kutumia akili nyingi hapo unitoi π
πππ ujue tuna sauti nyingi, .. ila bado hata sauti yako ya vibe haina noise . Ukikaa na mtu hivi face to face mkaanza kuongea nae kwenye serious jambo huyo mtu hatotamani hata mkae kwa mbali mbali hivi sauti yako na kuzungumza kwako kuna farajaπππππππππ
Eti sauti ya unyenyekevu π€£π€£π€£ Wasikusikie washkaji zangu tu π
Kweli kabisa, uwongo mwingi mwingi ila ni ule ambao upo kwenye story ambazo ni real.. ila implementation yake ndio huwa uwongo mtupuπππOooh ππ mimi hizi naona fiction inakua nyingi sana sizipendelei sana
Big brain vibe!!!!!ππΎππΎππΎMie huwa napenda za Kijasusi , hasa zinazi jumuisha sana matumizi ya ICT- Cyber War and Security na zina deal sana Technology .. na zile za kutumia akili nyingi hapo unitoi π
Ziko vizuri!!!Kungfu/the bad sijachek ngoja nikazichungulie
ππππππππ ujue tuna sauti nyingi, .. ila bado hata sauti yako ya vibe haina noise . Ukikaa na mtu hivi face to face mkaanza kuongea nae kwenye serious jambo huyo mtu hatotamani hata mkae kwa mbali mbali hivi sauti yako na kuzungumza kwako kuna faraja
Yeahh....cha msingi huo uongo u-make sense in the story world!!!!!Kweli kabisa, uwongo mwingi mwingi ila ni ule ambao upo kwenye story ambazo ni real.. ila implementation yake ndio huwa uwongo mtupuπππ
Final score....??Wananchiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Simba 1 Yanga 2Final score....??
acha nao, ni wivu tu una wasumbua ππππππππ
Kwahiyo hawa wanaoniambia ni mbaya niwapotezee ehhhh??π
Mkuuacha nao, ni wivu tu una wasumbua πππ
Uongo katika maana ya prototype, ila ni kweli ni vitu vinavyo endelea kila siku kwenye maisha ya dunia hii. Kuna move majuzi niliangalia ya jamaa wa NSA, ni movie ila ni ukweli unafanyika kwenye idara za ICT za ma kampuni makubwaYeahh....cha msingi huo uongo u-make sense in the story world!!!!!
Ndio Mkuu! Shule imekubana ? UmepoteaMkuu
Eyyyyyy!!!Simba 1 Yanga 2
Mkuu umebadili ID, nilikua najiuliza huyu ni nani? na anataka nini? ππNdio Mkuu! Shule imekubana ? Umepotea